FORM YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA - JANUARI 2021
SIMU: 0769908779/0786468782/0719916002
A: YAHUSUYO MWANAFUNZI
1. Jina Kamili
2. Tarehe ya kuzaliwa
3. Taifa
Kabila
Mkoa
Wilaya
Dini
Dhehebu
4. Jinsia:
5. Anuani/mahali anapoishi sasa hivi
B: YAHUSUYO MZAZI/MLEZI
6. Jina la Mzazi/Mlezi
7. Anuani ya nyumbani
Namba ya simu
8. Anuani ya kazini
9. Kazi yake
C: YAHUSUYO MTIHANI WA DARASA LA SABA
10. Jina kamili alilofanyia mtihani (Majina matatu tu)
11. Namba ya Mtihani (Mfano:PS2007026/001)
12. Shule aliyofanyia Mtihani
13. Mwaka aliomaliza elimu ya msingi
14. Wilaya Mkoa
D: MAAGIZO MENGINE
15. Malipo ya fomu ni shs. 20,000/= zinalipwa zote siku ya kuchukua fomu. Fedha za fomu zikishalipwa HAZIRUDISHWI.
16. Mtihani (Interview) itafanyika kwa siku mbili:-
Siku ya kwanza itakuwa Jumamosi ya tarehe 24/10/2020 saa mbili kamili asubuhi katika vituo vifuatavyo:- (i) TANGA - Ndani ya shule "Tanga Don Bosco Technical Secondary Sachool"
(ii)DAR ES SALAAM - "Msimbazi Center Chumba Namba 9".
Siku ya pili itakuwa ya tarehe
31/1072020 saa mbili kamili asubuhi hapa shuleni
Moral and quality education
Endapo mwanao atashindwa kufanya mtihani kati ya hizi siku mbili zilizotajwa hapo juu, tafadhali wasiliana na uongozi wa shule kwa ushauri.
17. Mitihani itaanza saa mbili kamili katika kila kituo.
18. Wanafunzi wote wavae sare za shule ya msingi walizosomea.
19. Mwanafunzi abandike Picha ndogo mbili (PASSPORT SIZE 2) juu upande wa kulia wa fomu hii. Picha hizo ziwe na sare ya shule ya msingi aliyosomea.
E: MASOMO YA "O" LEVEL
20. Masomo yafundishwayo katika shule ya Tanga Don Bosco Technical School ni:-
(i) Civics
(ii) History
(iii) Geography
(iv) Kiswahili
(v) English Language
(vi) Biology
(vii) Chemistry
(viii) Basic Mathematics
(ix) Cookery
(x) Physics / Engineering science
(xi) Ufundi - Civil Engineering
21. Umri wa mwanafunzi usizidi miaka kumi na tano (15) pia asiwe anayekariri kidato.
22. Mwisho wa kurudisha fomu shuleni ni Tarehe 23/10/2020
23. Rudisha fomu yako kwenye kituo ulichochukulia fomu au hapa shuleni kwa kutumia anuani ifuatayo:-Mkuu wa Shule
Tanga Don Bosco Technical Secondary School
P.O.Box 1108
TANGA,
24. Chagua lugha utakayotumia kufanya mtihani wa Hisabati:
Karibu sana katika shule ya Tanga Don Bosco Technical Secondary School kupata Elimu bora na malezi sahihi.